VIKINDU MPYA! VIKINDU MPYA! VIKINDU MPYA!
MRADI BORA ZAIDI WA VIWANJA VYA MAKAZI NDANI YA VIKINDU, WILAYA YA MKURANGA, MKOA WA PWANI.
UMBALI NI KILOMITA MBILI ( 2 ) KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI (KILWA ROAD)
VIKINDU KAMA VIKINDU
[emoji736] Maji Safi na salama yapo kwenye viwanja, Umeme upo Jirani sana na Viwanja, Shule ya serikali na private zipo jirani na mradi, Soko, kituo cha afya, Nyumba za Ibada n.k
[emoji736]Watu wamesha anza kujenga wapo majirani kwenye Eneo la viwanja
[emoji736]Njia kubwa inapitika kipindi chote.
[emoji736]Viwanja ni tambarale kabisa.
[emoji736]Viwanja VIMESHAPIMWA mtaa kwa mtaa na barabara za mitaa zimechongwa na zinapitika nyakati zote.
UKUBWA NA BEI
[emoji389]1,500,000/= futi 50×40 (Sqm 200)
[emoji389]3,000,000/= futi 50×80 (Sqm 400)
[emoji389]6,000,000/= futi 80×100 (Sqm 800)
NB: Unaruhusiwa kuongeza Eneo zaidi na zaidi, Kikubwa ni mahitaji yako na pesa yako tu.
USAFIRI:
Kuna usafiri wa daladala za kutoka maeneo mbalimbali na kukufikisha mpaka vikindu, kama vile:
[emoji590] Gerezani hadi vikindu,
[emoji590] Tandika hadi vikindu ,
[emoji590] Temeke hadi vikindu ,
[emoji590] kivukoni hadi vikindu,
[emoji590] Kigamboni hadi vikindu,nk.
MALIPO:
Unaweza kulipa kidogo kidogo bila riba wala dhamana, unatanguliza 50% ya bei ya kiwanja ulichochagua kama malipo ya awali, na pesa inayobaki utalipa ndani ya miezi 3 au tunaweza zungumza ni kwa kipindi gani utakamilisha deni lako.
MAWASALIANO:
Tunapatikana kupitia,
0787 600 849 (WhatsApp + Calls)
0623 433 833 (WhatsApp + Calls)
KARIBUNI SANA
View attachment 1916509View attachment 1916510View attachment 1916511View attachment 1916512View attachment 1916514View attachment 1916513