kwa bei hiyo utapata 5mx10mUnaweza ukanikatia kidogo cha milioni moja na nusu?
kwa bei hiyo utapata 5mx10m
kwa bei hiyo utapata 5mx10m
Viwanja vizuri vinauzwa eneo la Kibamba Dar es Salaam
Picha hapo chini zinaonyesha sehemu ya viwanja hivyo na nyumba zinazoonekana ni majirani.
Ukubwa mita 25 kwa mita 30 Shs 8.5m,
Ukubwa mita 30 kwa mita 40 Shs 16.5m,
Ukubwa mita 25 kwa mita 20 Shs 6.5m.
Viwanja hivi vimeungana, hivyo unaweza kuviunganisha vyote.
Kwa mawasiliano piga namba 0652828320
MUUZAJI NI MMILIKI, HAVINA DALALI
Tatizo la Kibamba ni miundombinu yaani maji na umeme.Kuna rafiki yangu alinunua uwanja maeneo ya Kibwegere mwaka 2007 mpaka leo anadai nguzo ya umeme alipoiacha ndo ilipo haijawahi kusogea wala hakuna hata plan ya kuweka hata ntaro wa maji
Bornagain; eneo hili linafikika kirahisi na umeme upo nyumba ya jirani kama mita 200 kutoka hapo kwenye kiwanja. Nyumba zinazoonekana zipo katika hatua ya mwisho ili nao waweze kuuvuta huo umeme. Wakiuvuta utapita mpakani mwa viwanja tajwa.
Ni kweli Kibwegere kwa unayoyasema hasa baadhi ya maeneo. Hata hivyo Kibwegere ni mbali zaidi na ni upande tofauti na huu tunaoungelea.