O oriflametz Member Joined May 31, 2016 Posts 47 Reaction score 12 Nov 16, 2016 #1 viwanja vya makazi vinauzwa.. vimeshapimwa utapatiwa na hati miliki... ukubwa.. sqm 450 bei..milioni 4,kwa walimu unaweza pata kwa mkopo mahali....karibu na bagamoyo.. kwa maelezo zaidi..
viwanja vya makazi vinauzwa.. vimeshapimwa utapatiwa na hati miliki... ukubwa.. sqm 450 bei..milioni 4,kwa walimu unaweza pata kwa mkopo mahali....karibu na bagamoyo.. kwa maelezo zaidi..
Dam55 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,669 Reaction score 12,042 Nov 16, 2016 #2 mh, huwa hamuaminiki ninyi unaweza nunua, unajenga ghafla unaona greda linakuja unaambiwa umejenga kwenye kiwanja wazi.
mh, huwa hamuaminiki ninyi unaweza nunua, unajenga ghafla unaona greda linakuja unaambiwa umejenga kwenye kiwanja wazi.
O oriflametz Member Joined May 31, 2016 Posts 47 Reaction score 12 Nov 17, 2016 Thread starter #3 Dam55 said: mh, huwa hamuaminiki ninyi unaweza nunua, unajenga ghafla unaona greda linakuja unaambiwa umejenga kwenye kiwanja wazi. Click to expand... vimepimwa na watu wa ardhi wenyewe na vina hati..maeneo ya wazi yameshatengwa pia..
Dam55 said: mh, huwa hamuaminiki ninyi unaweza nunua, unajenga ghafla unaona greda linakuja unaambiwa umejenga kwenye kiwanja wazi. Click to expand... vimepimwa na watu wa ardhi wenyewe na vina hati..maeneo ya wazi yameshatengwa pia..
WE ARE ANONYMOUS JF-Expert Member Joined Mar 23, 2015 Posts 217 Reaction score 284 Nov 17, 2016 #4 Karibu na bagamoyo ndio wapi? Watu wawe makini, unaweza uziwa eneo la mtu au eneo la kanisa na matapeli siku hizi wamekuwa wengi na wana mbinu kibao!
Karibu na bagamoyo ndio wapi? Watu wawe makini, unaweza uziwa eneo la mtu au eneo la kanisa na matapeli siku hizi wamekuwa wengi na wana mbinu kibao!
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,505 Reaction score 6,903 Nov 17, 2016 #5 Karibu na bagamoyo teh teh teh ipo mkoa gani hiyo karb na bagamoyo
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,557 Nov 17, 2016 #6 Kidomole, mapinga, kiwangwa, kisumbi cha mwene, msata, njia panda ya saadani , Kelege, kiaraka au baobab
Kidomole, mapinga, kiwangwa, kisumbi cha mwene, msata, njia panda ya saadani , Kelege, kiaraka au baobab
Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Nov 19, 2016 #7 Chanika Mjini(Videte) 50Ft X 50Ft, Bei: 4.5M. Umeme na Maji hapo hapo. 0.6Kms kutoka Barabara ya Lami. 1.7Kms toka Chanika Stand. Pamepimwa kienyeji vizuri kwa Makazi Bora. Kiwanja #29 & #30 Bado vinapatikana. Unajenga na kuhamia Leo leo bila kusubiria Umeme na Maji.
Chanika Mjini(Videte) 50Ft X 50Ft, Bei: 4.5M. Umeme na Maji hapo hapo. 0.6Kms kutoka Barabara ya Lami. 1.7Kms toka Chanika Stand. Pamepimwa kienyeji vizuri kwa Makazi Bora. Kiwanja #29 & #30 Bado vinapatikana. Unajenga na kuhamia Leo leo bila kusubiria Umeme na Maji.