Viko amani gomvu...karibu na changani beach.viko upande wa bahari...bahari unaiona ., sea breeze unaipata sawa sawa...kutoka kigamboni mpaka hapo kwa gari ni dakika 25....sqmt 1 ni sh 15000 cash viwanja vimepimwa na viko approved na serikali na manispa..ukinunua uta shulikiwa kupata offer.changamka upate kiwanja upande wa beach.....serious buyers wani pm kwa more details..naatanguliza salam