Kuweni makini na watu wanaojifanya wanauza viwanja humu, mtu anaweka tangazo alafu ukimpigia anakujibu tafadhali nipo kwenye meeting, sasa kama upo kwenye meeting unaweka matangazo ya nini? Unasema upo kwenye meeting ukitumiwa meseji usiku pia hujibu, kama sio utapeli na usumbufu kumbe ni nini??