M Mansully Member Joined Jan 26, 2014 Posts 10 Reaction score 1 Jun 8, 2014 #1 Habari zenu humu ndani kuna viwanja viwili ukubwa wa 20x20 Chanika buyuni kimoja mil4 kingine mil3.5 aliyeteyari tuwasiliane kwa no.0654791088
Habari zenu humu ndani kuna viwanja viwili ukubwa wa 20x20 Chanika buyuni kimoja mil4 kingine mil3.5 aliyeteyari tuwasiliane kwa no.0654791088
msemakweli2 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 1,627 Reaction score 1,886 Jun 8, 2014 #2 Mansully said: Habari zenu humu ndani kuna viwanja viwili ukubwa wa 20x20 Chanika buyuni kimoja mil4 kingine mil3.5 aliyeteyari tuwasiliane kwa no.0654791088 Click to expand... Km ngapi kutoka brbr kuu!kimepimwa mkuu na je sio vile vinavyogeuka bahari ya hindi wkt wa mvua!nilipita maeneo hayo wkt wa mvua nyumba zilikuwa zinaonekana mapaa tu mkuu.
Mansully said: Habari zenu humu ndani kuna viwanja viwili ukubwa wa 20x20 Chanika buyuni kimoja mil4 kingine mil3.5 aliyeteyari tuwasiliane kwa no.0654791088 Click to expand... Km ngapi kutoka brbr kuu!kimepimwa mkuu na je sio vile vinavyogeuka bahari ya hindi wkt wa mvua!nilipita maeneo hayo wkt wa mvua nyumba zilikuwa zinaonekana mapaa tu mkuu.
M Mansully Member Joined Jan 26, 2014 Posts 10 Reaction score 1 Jun 8, 2014 Thread starter #3 Vipo maeneo mazuri ila kama km 3 toka road.Boda boda 1000.