T TATA PANYA Member Joined Jul 26, 2013 Posts 54 Reaction score 8 Sep 11, 2013 #1 MAHALI: IRINGA MJINI MAWELEWELE (Jirani na yanapojengwa makao makuu mapya ya Mkoa) UKUBWA: METER 35 X 25 Usafiri unapatikana ni Tsh 400/= kwa daladala kutoka stendi kuu Iringa. VIMEBAKI VIWILI TU. MAELEZO ZAIDI TUWASILIANE. 0687 022 411
MAHALI: IRINGA MJINI MAWELEWELE (Jirani na yanapojengwa makao makuu mapya ya Mkoa) UKUBWA: METER 35 X 25 Usafiri unapatikana ni Tsh 400/= kwa daladala kutoka stendi kuu Iringa. VIMEBAKI VIWILI TU. MAELEZO ZAIDI TUWASILIANE. 0687 022 411
Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,482 Sep 11, 2013 #2 unauza bei gani aisee?
nurdi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 256 Reaction score 71 Sep 11, 2013 #3 Hute said: unauza bei gani aisee? Click to expand... Taja bei
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 Sep 20, 2013 #4 Bila bei inakuwa tabu
Benzoic JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 421 Reaction score 149 Sep 20, 2013 #5 Hivi mwenye hili tangazo ameenda wapi? Mijitu mingine bana