Viwanja vinauzwa

SokoroDar

Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
39
Reaction score
6
Ndugu wadau , tunauza viwanja vya size mbali mbali kama 20 x 20 = 5mil , 40 x 20 = 10m , vipo eneo la wazo hill , madale . ni eneo la makazi mapya na miundo mbinu kama barabara , maji , umeme vimefika , kila kiwanja atapatiwa njia ya gari ya kuingia kwake , kwa muhitaji serious apige namba 0718245645
 
nani anataka kesi na kiwanda cha cement?
 

Huko si ndo mabaunsa waliuawa kwa kupigwa mapanga?
 
Hizo bei ni kwa sababu ya kupanda kwa Dollar?
Maana Sqrm 400 kwa Tshs 5mil ni sawa na Tshs 12,500/- kwa 1Sqrm, tena un-surveyed!!!
 
hivi ukubwa wa 20 times 20 au 40 times 40 ni ukubwa gani huo? ni robo eka, nusu eka au ekari moja? mwenye kuelewa vizuri afafanue please.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…