Kuna viwanja vinauzwa Chanika zingiziwa 20x20 vipo eneo zuri mkabala na zahanati ya serikali kiasi kwamba vinafaa hata kujenga kitega uchumi kwa wanaoelewa fursa zipatikanazo maene jirani na hospital. Nicheck kwa 0625471226
Bei siyo kubwa ila umehofia kabla ya kujua bei. Mimi sio dalali ila mwenye navyo ni jamaa yangu anaishi mbali na eneo kwahiyo niliepo karibu kaomba nimuuzie na namba ya simu yake hiyo hapo