Viwanja vinauzwa

Edward A Chapa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
976
Reaction score
1,405
Habari ndugu wana Jamii,

Nauza viwanja vya makazi maeneo ya Kiluvya Madukani kilometer 2 kutoka morogoro road, vipo pembeni ya viwanja vya NSSF. Bei ni Milioni 5 Inaanzia kwa miguu 20 kwa 20. Hakuna dalali mimi ni mmiliki mwenyewe. Vinatambuliwa na serikali ya kijiji na hakuna matatizo. Kwa mawasiliano namba 0717246284
 
Chanika Mjini(Videte)

Size: 20X20 Miguu,

Bei: 5.0M.

Umeme na Maji hapo hapo.
0.6Kms kutoka Barabara ya Lami.
1.7Kms toka Chanika Stand.

Pamepimwa kienyeji vizuri sana.
Kiwanja #29 & #30 Bado vinapatikana .

1.6Km toka Hapo Chanika Stand.



 
Alie na kpande cha kiwanja maeneo ya buza, machimbo, mbagala, chamazi, pasiwe mbal na barabara sana ata ikiwa futi 25 kwa 25 ilibmrad tu nieze kujenga vyumba viwil na sebule na choo kama yupo anistue kwa 0622944747,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…