Viwanja vinauzwa vya ukubwa tofauti maeneo ya mkundi na kiegea Morogoro, vimepimwa na vina document zote na zinatolewa na Manispaa ya Morogoro, serious buyer ni pm
Kwanini usiweke namba za ofisi na si binafsi? Kama viwanja vinatolewa na halmashauri? sina tatizo na watu binafsi kuuza viwanja ila ikiwa ni watu binafsi basi isemwe hivyo.
Viwanja vinauzwa vya ukubwa tofauti maeneo ya mkundi na kiegea Morogoro, vimepimwa na vina document zote na zinatolewa na Manispaa ya Morogoro, serious buyer, call: 0718 513571 na 0785 853297.
Kwani mkuu ukiweka na bei unakosa nini? kutoa maelezo ya ziada yakuwavutia watej unakosea nini? ukisema cheo chako hapo wilayani unakosa nini? kwani unaiba au? wekajamvini mwagaradhi fedha zikumwagikie ohhh