N nkolaniwe Member Joined Jan 18, 2015 Posts 24 Reaction score 1 Mar 1, 2015 #1 Vipo mbezi malamba mawili na kongowe mwisho toangoma bei kuanzia mil 2 na kuendelea ukubwa tofauti havijapimwa unakatiwa kipande chako kulingana na pesa yako.
Vipo mbezi malamba mawili na kongowe mwisho toangoma bei kuanzia mil 2 na kuendelea ukubwa tofauti havijapimwa unakatiwa kipande chako kulingana na pesa yako.
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,322 Mar 1, 2015 #2 Hivyo vya mil 2 toangoma vina size ya mita ngapi kwa ngapi? pls usinipe jibu kwa hatua.
TO2004 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 540 Reaction score 220 Mar 2, 2015 #3 Mkuu hivyo vya 2m ni ukubwa gani?