Ninauza viwanja vyangu, vipo 2 chamazi, ukubwa wake ni ft 60 kwa ft 40 kwa kila kimoja, vimekatwa ktk mtaa, yaani eneo limepangiliwa. Haviko mbali kutoka barabara kuu, gari linafika hadi vilipo, eneo limezungukwa na watu, hìvyo umeme na maji sitatizo.bei ni 6m tu ukichukua vyote bei inapungua.