Viwanja vipo Kisesa Mwanza, Vimeshapimwa na vina subiri utengenezaji wa hatimiliki ambapo mnunuzi ndo atakuwa wa kwanza kutengeneza katika kiwanja husika
Bei ni million 2.7 kwa kila kimmoja
Eneo ni tambarare na pembezoni pameshajengeka.
Huduma za kijamii zipo karibu
Viwanja vinafikika kwa barabara kubwa ya gari
Call/text/Whatsap 0762211774/0622355789