Sishauri mtu akanunue viwanja kinyerezi kwa sasa, mm ni muhanga wa viwanja vya kinyerezi kesi bado ipo mahakamani, vimeshapimwa lakini wanunuzi walikuwa sio wazawa wakawa ni wageni, wameenda mahakamani kulalamikia kitengo cha ardhi cha Ilala