mpendaMaendeleo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 279
- 35
Viwanja viko kibamba shule ukubwa kuanzia Mita 20*20 bei 4.5milion bei inaongezeka Kulingana na ukubwa, vyote vinafikika kwa barabara, huduma Za umeme na maji zinapatikana.
Kwa taarifa zaidi piga 0713154547
Hapana ndugu, hivi viwanja viko Kwenye eneo ambalo halijawahi hata kuwa na historia ya migogoro. Pole ndugu kwa kujaribu kutufananisha.Mmh jamani ivi c ndo vile viwanja vyenye migomigoro ya kifamilia mmh
Hapana havina mgogoro WA aina yoyote wala historia ya migogoro, huyu jamaa anajaribu tu kutuharibia kwanza anajiita kikoozi.kumbe vinamgogoro🙋🙋🙋