Kwa anayehitaji kiwanja cha kujenga nyumba, sqr meter 20 x20, vinapatikana maeneo ya Goba, vipo maeneo mazuri na vimenyooka (havina mabonde) bei iko poa sana. 3.5M. Piga 0717329166
Umbali kutoka kimara mwisho ni 6km,kutoka barabara kuu ni mita 200, umeme upo jirani mita 200. document zote zipo.isipokuwa Hakijapimwa ardhi ! Pia ukitaka kupimiwa, nitakupa msaada wa kukuelekeza njia za kupita mpaka kupimiwa...