Kiwanja kinauzwa maeneo ya kinyerezi dar, kina ukubwa wa 46*23 ni kikubwa na kipo barabarani, bei ni milioni 35 mazungumzo yapo. Pia nina vingine vingi pembezoni mwa jiji vya kuanzia milioni 5 na kuendelea, kwa anayehitaji anaweza:
0769142586
Kuni-PM muda wowote au
Niandikie kwenye info@fadhili.p.ht
Mkuu,
Kwa dar tunaposema nje kidogo ya jiji nadhani inaeleweka, labda unaweza kusema ni maeneo gani unapendele na bajeti yako ni kiasi gani basi, mengine yote utapewa. Unaweza pia kunipigia kwenye 0769142586