MKONGORO JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 345 Reaction score 307 Nov 20, 2015 #1 Wakuu Kiwanja Kinauzwa Hapa Kunduchi Eneo La Meko Hatua Chache Toka Barabara Ya Lami Ya Mwenge Tegeta Kina Ukubwa Wa 25*35 Bei Mil 10 Kwa Mazungumzo Zaidi Nitakukutanisha Na Mwenyewe Nicheck 0655544791. Last edited: Jan 7, 2016
Wakuu Kiwanja Kinauzwa Hapa Kunduchi Eneo La Meko Hatua Chache Toka Barabara Ya Lami Ya Mwenge Tegeta Kina Ukubwa Wa 25*35 Bei Mil 10 Kwa Mazungumzo Zaidi Nitakukutanisha Na Mwenyewe Nicheck 0655544791.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Nov 20, 2015 #2 Kina hati mkuu?
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,259 Reaction score 7,108 Nov 20, 2015 #3 je kipo mita ngapi kutoka hifadhi ya bara bara.. isije ikawa mnataka kukisukuma baada ya hii operationa kuanza ya vunja vunja
je kipo mita ngapi kutoka hifadhi ya bara bara.. isije ikawa mnataka kukisukuma baada ya hii operationa kuanza ya vunja vunja
MKONGORO JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 345 Reaction score 307 Nov 20, 2015 Thread starter #4 hekimatele said: Kina hati mkuu? Click to expand... Mkuu Kiwanja Hiki Hakina Hati.
MKONGORO JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 345 Reaction score 307 Nov 20, 2015 Thread starter #5 njiwa said: je kipo mita ngapi kutoka hifadhi ya bara bara.. isije ikawa mnataka kukisukuma baada ya hii operationa kuanza ya vunja vunja Click to expand... Mkuu Kiwanja Kipo Umbali Wa Kutosha Toka Barabara Kuu ni Kama Mita Mia Nne Viwanja Vya Mpira wa miguu vinne.
njiwa said: je kipo mita ngapi kutoka hifadhi ya bara bara.. isije ikawa mnataka kukisukuma baada ya hii operationa kuanza ya vunja vunja Click to expand... Mkuu Kiwanja Kipo Umbali Wa Kutosha Toka Barabara Kuu ni Kama Mita Mia Nne Viwanja Vya Mpira wa miguu vinne.
msumeno JF-Expert Member Joined Aug 3, 2009 Posts 2,826 Reaction score 1,738 Nov 20, 2015 #6 MKONGORO said: Wakuu Kiwanja Kinauzwa Hapa Kunduchi Eneo La Meko Hatua Chache Toka Barabara Ya Lami Ya Mwenge Tegeta Kina Ukubwa Wa 25*35 Bei Mil 11. Kwa Mazungumzo Zaidi Nitakukutanisha Na Mwenyewe Nicheck 0655544791 Click to expand... Mkuu kimepimwa?
MKONGORO said: Wakuu Kiwanja Kinauzwa Hapa Kunduchi Eneo La Meko Hatua Chache Toka Barabara Ya Lami Ya Mwenge Tegeta Kina Ukubwa Wa 25*35 Bei Mil 11. Kwa Mazungumzo Zaidi Nitakukutanisha Na Mwenyewe Nicheck 0655544791 Click to expand... Mkuu kimepimwa?
lelooo JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 422 Reaction score 364 Nov 20, 2015 #7 Kimepimwaa.na je huko tayar tuende ardhi tukapime uhalali wa kiwanja
MKONGORO JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 345 Reaction score 307 Nov 20, 2015 Thread starter #8 lelooo said: Kimepimwaa.na je huko tayar tuende ardhi tukapime uhalali wa kiwanja Click to expand... Mkuu Mwenyekiwanja Yupo Tayari!
lelooo said: Kimepimwaa.na je huko tayar tuende ardhi tukapime uhalali wa kiwanja Click to expand... Mkuu Mwenyekiwanja Yupo Tayari!
S soyuz Senior Member Joined Oct 4, 2013 Posts 155 Reaction score 60 Nov 20, 2015 #9 nipe namba ya simu
Kimolah JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 571 Reaction score 775 Nov 20, 2015 #10 Mecco ndio shimoni mle??!..
BABA TUPAC JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,533 Reaction score 3,838 Nov 21, 2015 #11 bomoa bomoa bado inaendelea
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,905 Reaction score 33,099 Nov 21, 2015 #12 msumeno said: Mkuu kimepimwa? Click to expand... Mkuu upate kiwanja Kunduchi kilichopimwa kwa Mil 11?
msumeno said: Mkuu kimepimwa? Click to expand... Mkuu upate kiwanja Kunduchi kilichopimwa kwa Mil 11?