Sijui kwanini tunakimbilia sana kutaka kupigiwa simu??
Tulia chini andika vizuri,toa maelekezo ya kutosha kuhusu biashara unayotaka kufanya.Ukitoa maelezo yanayojitosheleza Kwa mfano vina hati au la/vimepimwa vinauzwa kialali au kimagumashi/wewe ni dalali au mmiliki wa viwanja, vipo vingapi??
Ukiweka hayo sawa utapata simu za wateja kweli maana kila kitu kitakuwa kimeelezwa.!