Y yoyo Member Joined Aug 3, 2012 Posts 19 Reaction score 4 Dec 11, 2012 #1 Habari, Nina mashamba na viwanja vilivopimwa maeneo ya kigamboni kwa bei ya kuanzia milioni nne kwa mashamba ya kuanzia heka moja (bei inazungumzika) NA kwa anayetaka viwanja vyenye hati tuwasiliane kwa namba 0753 417 987. Karibuni.
Habari, Nina mashamba na viwanja vilivopimwa maeneo ya kigamboni kwa bei ya kuanzia milioni nne kwa mashamba ya kuanzia heka moja (bei inazungumzika) NA kwa anayetaka viwanja vyenye hati tuwasiliane kwa namba 0753 417 987. Karibuni.
S SG8 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2009 Posts 3,955 Reaction score 2,135 Dec 11, 2012 #2 Viko maeneo gani kabla hatujajirusha hewani kukupigia?
Penelope JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 713 Reaction score 644 Dec 12, 2012 #3 SG8 said: Viko maeneo gani kabla hatujajirusha hewani kukupigia? Click to expand... Ila sizani kama maeneo ya mji mpya ni vyema kununua kwa kigamboni
SG8 said: Viko maeneo gani kabla hatujajirusha hewani kukupigia? Click to expand... Ila sizani kama maeneo ya mji mpya ni vyema kununua kwa kigamboni
Y yoyo Member Joined Aug 3, 2012 Posts 19 Reaction score 4 Dec 12, 2012 Thread starter #4 SG8 said: Viko maeneo gani kabla hatujajirusha hewani kukupigia? Click to expand... Maeneo ya cheka,Amani gomvu na mwanzo mgumu,hivi vyote ni nje ya maeneo ya mji mpya,,karibu tuongee kile unachohitaji wewe.
SG8 said: Viko maeneo gani kabla hatujajirusha hewani kukupigia? Click to expand... Maeneo ya cheka,Amani gomvu na mwanzo mgumu,hivi vyote ni nje ya maeneo ya mji mpya,,karibu tuongee kile unachohitaji wewe.