PROF MUDI DULA
Member
- Oct 29, 2012
- 86
- 4
Vimepimwa?
kiswahili muruaHakuna sehemu nyingine tafauti maeneo hayo.
kiwanja ambacho hakijapimwa na hakina hati sikitaki na sishauri mtu anunue labda huko mashenzini lakini kwa maeneo au mikoa iliyopakana na DSM big noViwanja na mashamba vinauzwa.
MAENEO: mkoa wa wa Pwani, unateremka Vikindu. Kwa kutokea Kongowe unaingia upande wa kushoto mpaka kijijini Kazole.
BEI: kiwanja cha nyumba mita 20 kwa 15, ambayo ni sawa na futi 60 kwa 45 ni Tsh. Milio1.5.
MAWASILIANO: kwa mawasiliano zaidi +255653422776
N.B. Unaweza kuongeza au kupunguza ukubwa wa kiwanja kutokana na pesa yako.
Jamani msiogope bei. Kila mtu ana uhuru wa kuongea kuhusu bei anayoridhika nayo.
N.B. Maongezi ya bei yatafanyika kwa sms tu.
Jamani msiogope bei. Kila mtu ana uhuru wa kuongea kuhusu bei anayoridhika nayo.
N.B. Maongezi ya bei yatafanyika kwa sms tu.
Naweza kupata shamba la ekari 25? bei itakuwa kiasi gani kama lipo?