viwanja mbezi

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,440
Reaction score
38,437
Habari zenu wanajamii;

Viwanja vinauzwa Mbezi Luis, umbali ni 2km kutoka Morogoro rd, viwanja vitatu vipo kwa pamoja (vinaunda eneo 1), vina mita za ukubwa tofauti tofauti, 25x25, 26x26 na 27x27, bei ni 12m, 13m na 17m kwa Tshs, hakuna dalali, mimi mwenyewe ndio Mhusika Mkuu. Fursa ya kuviona ni week - end tu.

Kwa mawasiliano, 0717210880
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…