Kwenye hiyo ramani Beach ipo upande gani?NEW BEACH PLOTS AT KIGAMBONI CHEKA
24km kutoka kigamboni ferry mpaka cheka stand
2.5km kutoka cheka stand mpaka site
500m kutoka site mpaka Mbutu public beach
umeme, maji vyote vipo
square meter 1 ni 13,000 cash
square meter 1 ni 20,000 malipo ya miez 18
whatsapp/call 0786056135View attachment 1709259View attachment 1709260
Mtupe updates ya viwanja vilivyopo na bei zake, wengine wanajiunga humu wapya watataka kuona kunaendaje-update map, kigamboni buyuni, viwanja bado vipo
-na unaweza kulipia 105,000 kila mwezi kwa kiwanja cha sqm400
-sqm 1 ni 4700View attachment 1720067View attachment 1720068View attachment 1720070
Mwongozo ndio wapiKuna jamaa yangu anauza 1.7 kipo Mwongozo kibaoni
hiki kilisha chukuliwa au bado?-kuna kiwanja kimebaki kimoja kigamboni buyuni cha 20×13.5 kwa bei
ya 807,000
Kipo sehemu gani,hiki kimeshauzwa kipo cha 20m ×15.5m ambacho ni 1,244,000
KigamboniMwongozo ndio wapi