Viwanja Dodoma

talk2me

Member
Joined
Jan 22, 2010
Posts
11
Reaction score
8
Habari wanajamvi,kuna viwanja (havijapimwa bado -shamba) ekari 2 vinauzwa vyote kwa pamoja.
Ekari moja inauzwa kwa Tsh 10,000,000.

Vipo Nkuhungu karibia na mnadani - mita 200 kutoka barabara ya lami (Dodoma -Singida)

Karibuni sana.

0715 251100.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…