Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
Mkuu weka bei na specification zake tafadhali.
Nimekupata mkuu.6.9 mil
Mwaka 1999
Radio Cd
Cc 990
Full a/c
Metallic
imetembea k.m ngapi? Imeingia ichini mwaka gani?na gari iko mkoagani tafadhali.
vp ipo mkoa gani mkuu?
Nime kupm mkuu
plate number CES,,Hiko mkoa wa dar es alaam.
Na imeingia nchini mwaka jana mwshoni.
plate number CES,,
unamaanisha imeingia miezi miwili iliyopita au mwaka juzi mwishoni? mil 5 inalipa?
plate number ces,,
unamaanisha imeingia miezi miwili iliyopita au mwaka juzi mwishoni? Mil 5 inalipa?
Mimi nina milion 5 cash kama upo tayar ni call no 0754267585