roseskyler
Member
- Jan 29, 2019
- 7
- 3
Si uweke picha au ni vya wiziHabari wapendwa !
Kuna Vitu used nauza vimetumika kwa mda Wa miezi mitano
•dressing table
•kitanda cha chuma cha 5 kwa 6
•na TV show case
Mwenye huitaji anicheki pm
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Picha ya vitu ikwapi?Habari wapendwa !
Kuna Vitu used nauza vimetumika kwa mda Wa miezi mitano
•dressing table
•kitanda cha chuma cha 5 kwa 6
•na TV show case
Mwenye huitaji anicheki pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha nishatuma kwenye comment...napatikana Kinondoni atakayehitaji atanifata pm1. Picha ya vitu ikwapi?
2. Wewe unapatikana wapi?
3. Wapi mawasiliano yako?
You are not serious chief....Picha nishatuma kwenye comment...napatikana Kinondoni atakayehitaji atanifata pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ukiweka namba sio wote watakaokufata kwa uhitaji Wa kununua vitu ..kila MTU na akili yake wengine wanapenda tu kusumbua wenzao...km kwl mtu unahitaji njoo pm tutapeana nambaYou are not serious chief....
Yaani wewe ni moja wa mfano mzuri sana wa wengi wanao fail hata pale wanapo elekezwa.
Nime aikitika kuona wewe ndie mwenye uhitaji/shida ya kuuza bidhaa zako, then kwasauti kubwa kabisa unasisitiza kwa maandishi kwamba atakae hitaji akufuate PM...
Basi sawa mkuu...Tatizo ukiweka namba sio wote watakaokufata kwa uhitaji Wa kununua vitu ..kila MTU na akili yake wengine wanapenda tu kusumbua wenzao...km kwl mtu unahitaji njoo pm tutapeana namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei gan hapa.tv show caseVipo Kinondoni mkwajuniView attachment 1007662View attachment 1007663View attachment 1007664
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakuja pm huko huko tunajifanya wanunuzi unatupatia namba tunaanza kukusumbuaTatizo ukiweka namba sio wote watakaokufata kwa uhitaji Wa kununua vitu ..kila MTU na akili yake wengine wanapenda tu kusumbua wenzao...km kwl mtu unahitaji njoo pm tutapeana namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahaha ushanitaarifu ukija sikupiTunakuja pm huko huko tunajifanya wanunuzi unatupatia namba tunaanza kukusumbua
Umejieleza vizuri sana.. nakuja P.MTatizo ukiweka namba sio wote watakaokufata kwa uhitaji Wa kununua vitu ..kila MTU na akili yake wengine wanapenda tu kusumbua wenzao...km kwl mtu unahitaji njoo pm tutapeana namba
Sent using Jamii Forums mobile app
showcase bei gani?Vipo Kinondoni mkwajuniView attachment 1007662View attachment 1007663View attachment 1007664
Sent using Jamii Forums mobile app