Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,276
- 2,060
Nishaiweka mkuu karibu.Weka number ya simu
Karibu mkuu hata wa mbali tunawafikia pia.Poa mkuu hiyo ni fursa kwa wakazi wa Dom, mi Niko mbali
ndio ni ashikirimu mkuuπππHizo kwenye fridge ni ashikirimu?
Halina manyoya, ni nene na ni laini piaHilo zuria ni manyoya au carpet tu??
unaweza ukaniuzia nijikumbushe la sita Bndio ni ashikirimu mkuuπππ
haaa haaaa wapi huko mkuu dah ila enzi zile ukila na kubiti au mabumunda aisee kila siku unatamani kengele ya mapumziko igongwe fastaaa....unaweza ukaniuzia nijikumbushe la sita B
Laki 3 kabati itapendeza zaidi
mkuu inapendeza lakini itapendeza zaidi kama utaongezaongeza coz hii mbao iliyotengenezewa sio ile mchina, made in TzLaki 3 kabati itapendeza zaidi
ππLaptop bado haijawekwa sokoni mkuu but endelea kuuwatch huu uzi anytime inaweza ikahusikaMi nataka hiyo Laptop..unauzaje.?
Mkuu inapendeza lakini itapendeza zaidi ukiongeza kidogoTv 200k itapendeza uki ni pm
πππ mkuu tulia nipangilie bei aisee maana duh vyuma ni hataree...Naomba kujua bei ya hivi vitu??
Ice cream????
Huyo mdoli pembeni ya friji kubwa???
Glasi ya kioo iyo ndani ya friji????
si unajua tena...