Vitanda vinauzwa , vimetumika vilikuwa vikitumiwa kwenye lodge hapo kabla.
Vipo size tofauti kuanzia 6*6 mpaka 3*6
Ni full kitanda na godoro lake.
Vinapatikana Dar es Salaam, Temeke
Bei maelewano
mf: 6*6 ni 280,000/= kitanda na godoro na bado inaweza shuka kutokana na makubaliano ya mteja na muuzaji
Karibuni
0684141476