Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Kawaida kwa wengine iyoNitoe 25 alafu next day breakfast mjani?
Ngoja WajeWataend wavaa heren,
weed?????????????/Nitoe 25 alafu next day breakfast mjani?
Na ndio siku kuu ya panya road kuvuna, si mtaona?Kawaida kwa wengine iyo
Bado Panya road hawaja kuvizia
Upo sahihi mkuu, mwanaume halisi hawezi kwenda kwenye shoo za kihuni kama fiesta.Wakataoenda ni magashooo tu huko
OVA
Wenye utawasikia wanasema fiesta inaelimisha jamii......Upo sahihi mkuu, mwanaume halisi hawezi kwenda kwenye shoo za kihuni kama fiesta.
Nimeona mawingu tv yule mzee wa matamko akiunganishwa kwenye tangazo la fiesta akitoa tamko!Wenye utawasikia wanasema fiesta inaelimisha jamii......
OVA
soon utawasikia vigogo wanabakia kusema imooo...Nimeona mawingu tv yule mzee wa matamko akiunganishwa kwenye tangazo la fiesta akitoa tamko!
Fiesta ni moja ya matukio mkuu, msome mzee Warioba anavyosema.soon utawasikia vigogo wanabakia kusema imooo...
OVA
Kweli,tukio hilo ni sawa na sodoma na gomoraFiesta ni moja ya matukio mkuu, msome mzee Warioba anavyosema.
Jaji Warioba: Nchi imepoteza mwelekeo, inaendeshwa na matukio
Haleluyah mkuu, hiyo haina uongo hata chembe.Kweli,tukio hilo ni sawa na sodoma na gomora
OVA
Mtu mwenye akili timamu Huwezi kwenda sehemu Kama hiyo....siku hiyo mabinti watabakwa,watu wataibiwa Simu....ushnz wote utafanyika hapo leaders...Haleluyah mkuu, hiyo haina uongo hata chembe.