Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 624
- 548
Akikujibu naomba na mimi uni taggje unauza na camera ya canon 7k na je ipi kamera nzuri kwa shughuli ya video production (kushoot wanamuziki, films, na mambo ya sherehe yaani harusi)
je unauza na camera ya canon 7k na je ipi kamera nzuri kwa shughuli ya video production (kushoot wanamuziki, films, na mambo ya sherehe yaani harusi)
nataka kuanza biashara ya kushoot weddings, sherehe mbalimbali, video production husuani films, wanamuziki nakadhalikaInategemea unashoot nn ila canon 7d pamoja na prime lens ni kianzuo kizuri
Camera zinazorekodi zipo nyingi na zinazoweza kurekodi hayo matukio unayotaka kwa ubora mzuri tuu ntataja chache Cannone 1100,Nikon 3100,3200,4200,5200,7200 au Nikon D 90 hizo pia zimetofautiana bei ila Lens ianzie 18mm mpaka 55mm na ingine ya 55mm mpka 200mm au ukipata 18mm mpaka 200mm ni bora zaidi.nataka kuanza biashara ya kushoot weddings, sherehe mbalimbali, video production husuani films, wanamuziki nakadhalika
asante sana mkuu wangu nashukuru sana ngoja nizitafuteCamera zinazorekodi zipo nyingi na zinazoweza kurekodi hayo matukio unayotaka kwa ubora mzuri tuu ntataja chache Cannone 1100,Nikon 3100,3200,4200,5200,7200 au Nikon D 90 hizo pia zimetofautiana bei ila Lens ianzie 18mm mpaka 55mm na ingine ya 55mm mpka 200mm au ukipata 18mm mpaka 200mm ni bora zaidi.
BEI JE ZINAWEZA KUFIKA SHILINGI NGAPI HIZO MKUU.Camera zinazorekodi zipo nyingi na zinazoweza kurekodi hayo matukio unayotaka kwa ubora mzuri tuu ntataja chache Cannone 1100,Nikon 3100,3200,4200,5200,7200 au Nikon D 90 hizo pia zimetofautiana bei ila Lens ianzie 18mm mpaka 55mm na ingine ya 55mm mpka 200mm au ukipata 18mm mpaka 200mm ni bora zaidi.
Canon5DMark IIIje unauza na camera ya canon 7k na je ipi kamera nzuri kwa shughuli ya video production (kushoot wanamuziki, films, na mambo ya sherehe yaani harusi)
Cannone 1100D tsh 750000 pamoja na Nikon 3100D,3200D ila 4200D kuendelea zinaanzia milion moja..BEI JE ZINAWEZA KUFIKA SHILINGI NGAPI HIZO MKUU.
Camera zinazoshot Harusi zipo nyingi sana usikaririshwe na hiyo tuu mkuu Nikon 700,800,7200,Sony Pd series na zingine nyingi tuu na zinatoa picha bora...Canon5DMark III
Na Vipi kuhusu Drone camera, specifications na bei Zane pleaseCannone 1100D tsh 750000 pamoja na Nikon 3100D,3200D ila 4200D kuendelea zinaanzia milion moja..
Poa mkuu, Asante kwa ufafanuziKyata sasa hivi drone zimeingiliwa kwa maana zipo brand nyingi sana na pia bei ipo chini na ubora pia sio kivile ila ntauliza kwa jamaa zangu wanaotumia sana hizo kujua ipi bora zaidi ila kununua hapa SA ni USD 100 mpaka USD 200 maana zipo zingine zinastack sana ukitaka kuishusha inagoma hewani...