Vifaa vya maabara

TOURMALINE

Senior Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
125
Reaction score
24
Habari zenu ndugu wana jukwaa,
Ninahitaji kununua vifaa vifuatavyo,
1.Plastic Measuring cylinder(10L,250l,300L)
2.Long wet sieves
3.DO and pH meter
4.1L transparent plastic bucket
5.Beaker(50L,100L)
6.Magnetic stirrer
7.Laboratory stirrer heater

Naomba msada wenu, ni wapi nitaweza kupata hivi vifaa.Nijulisheni ni maduka gani, na yapo wapi ambapo naweza kuvipata.

Nawasilisha
 
Mkuu hivyo vipimo vya ujazo no L au ml? Maana sijawahi kusikia kuna beaker wala measuring cylinder za hizo mpk 300L.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…