INAUZWA Vifaa Vya Desktop/Laptop Computers

mkuu kwema?
natafuta CPU ya Dell, inaweza kuwa bei gani? hapa ni bila desktop, je
ikiwa pamoja na computer yake full inaweza kuwa kiasi gani?

Habari, CPU ya dell zipo core 2 duo kwa bei ya 130,000/= na kuendelea
Complete tunauza 240,000/= na kuendelea.
 
Je kwa mtu wa mikoani mnaweza kumfikishia mzigo alipo?
 
natafuta displa (innolux n116bge-e42) na touch yake
 
Natafuta RAM...Dell latitude d800 1gb zipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…