liz2475 Member Joined Apr 21, 2010 Posts 11 Reaction score 1 Jan 8, 2018 #1 Nauza vifaa vya bakery ambavyo bado vinatumika kwa sasa. Napatikana Kigamboni, Dar es Salaam. Tel. 0754 801 402
Nauza vifaa vya bakery ambavyo bado vinatumika kwa sasa. Napatikana Kigamboni, Dar es Salaam. Tel. 0754 801 402
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,101 Jan 8, 2018 #2 Unaogopa kulipishwa tangazo?? Kuwa huru,weka hapa vifaa na bei,kigamboni ina mitaa ake
uhaale JF-Expert Member Joined Sep 25, 2012 Posts 309 Reaction score 154 Jan 18, 2018 #3 liz2475 said: Nauza vifaa vya bakery ambavyo bado vinatumika kwa sasa. Napatikana Kigamboni, Dar es Salaam. Tel. 0754 801 402 Click to expand... Unayo proofer? ni saizi gani na unauza sh ngapi?
liz2475 said: Nauza vifaa vya bakery ambavyo bado vinatumika kwa sasa. Napatikana Kigamboni, Dar es Salaam. Tel. 0754 801 402 Click to expand... Unayo proofer? ni saizi gani na unauza sh ngapi?
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,255 Reaction score 103,409 Jan 18, 2018 #4 Ungeweka Aina ya kifaa, Kampuni/Brand Idadi na Bei yake Imetumika muda gani
M M2mishi JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 719 Reaction score 274 Jan 18, 2018 #5 liz2475 said: Nauza vifaa vya bakery ambavyo bado vinatumika kwa sasa. Napatikana Kigamboni, Dar es Salaam. Tel. 0754 801 402 Click to expand... Mnaaambiwa kusoma mnakimbia kimbia tu hata kuandika matangazo hamjui mnakuja kusumbua watu hapa, eti nauza vifaaa vya bakery vipo kigamboni unaweka namba ya simu unadhani umemaliza kuandika tangazo. Puuuuuumbavu
liz2475 said: Nauza vifaa vya bakery ambavyo bado vinatumika kwa sasa. Napatikana Kigamboni, Dar es Salaam. Tel. 0754 801 402 Click to expand... Mnaaambiwa kusoma mnakimbia kimbia tu hata kuandika matangazo hamjui mnakuja kusumbua watu hapa, eti nauza vifaaa vya bakery vipo kigamboni unaweka namba ya simu unadhani umemaliza kuandika tangazo. Puuuuuumbavu
Bandiwe JF-Expert Member Joined Oct 19, 2013 Posts 9,530 Reaction score 3,557 Jan 18, 2018 #6 Bora ungejiuza mwenyewe, maana hiyo number ndo ingekuwa na maana.