the above message will be deleted after getting reply.
Kwanini mkuu?inakiuka maadili gani kwa mtazamo wako?
Nope nina wasiwasi unaweza ukawa peke yako tu kutoka mkwawa hapa JF.
Najua baadhi wako wapi,mr.mbao alishastaafu anakaa tabata dar,mr tende alikua headmaster wa shule moja mbeya,nelkon alishafariki miaka kadhaa iliopita,prof utunguru ni mwalimu msoma na sotta sijui yuko wapi kwa sasa ila last time alikua president wa serikali ya wanafunzi pale mzumbe university

tende alikuwa headmaster, rungwe sec...sidhan kama bado yupo pale.
(6) mzee chua na nelkon wa makanyagio kwenye mabanzi
Mbao alikuwa anaish maeneo ya tabata kimanga kama unaelekea kisukuru,RIP nelkon,umemsahau pamela?yule du mwenye kujaliwa makalio?yupo mzumbe na kina natalia..
kitu makanyagio, kwenye msosi wa tsh 50 hadi 200..mtu unakula hadi unasaza...dah umenikumbusha mbali mzee.
Sota yupo kwenye facebook,mambo yake poa siku hizi pia nasikia chua ni dreva taxi iringa mjini
Where is Mgohamwende? Dudu na wengineo?