Erick_Blocks_Machine
Member
- May 1, 2025
- 54
- 13
Tunauza mashine bora za kufyatulia tofali aina ya (Vibrated block machine double)
Mashine yenye uwezo wa kutoa tofali moja kwa wakati mmoja
Bei ni 2.8m complete.
Tunapatikana Mwenge Dar es salaam opposite na SUMA JKT MILITARY BASE Bagamoyo Road.
View attachment 3352603
Wasiliana nasi
076779805
Hii ndio bei ya complete set?Tunauza mashine bora za kufyatulia tofali aina ya (Vibrated block machine double)
Mashine yenye uwezo wa kutoa tofali moja kwa wakati mmoja
Bei ni 2.8m complete.
Tunapatikana Mwenge Dar es salaam opposite na SUMA JKT MILITARY BASE Bagamoyo Road.
View attachment 3352603
Wasiliana nasi
0767798050
Lijamaa Lina feli kwenye marketing, yaani tangazo halijakamilika,Una maana complete pamoja na mixer yake?(japo hujahusisha kwenye picha)
Mashine na motor yake mikoani tunatuma nicheki 0767798050Hii ndio bei ya complete set?
Mikoani mnatuma?
Mashine na motor yake na mixer ni 7.3mUna maana complete pamoja na mixer yake?(japo hujahusisha kwenye picha)
Hiyo ni bei ya mashine na motor yakeHii ndio bei ya complete set?
Mikoani mnatuma?
Ukihitaji na sand mixer ni 7.3mHiyo ni bei ya mashine na motor yake
Karibu mkuu unahitaji mashine gani?Umeshindwa kuweka ata picha?