Malyenge pole sana ila hakuna namna pambana tu na hali yako, kazana kuzisaka ipo siku utaona kawaida tu.Bei mbaya. Ingekuwa ni elfu 5 ningenunua kqa ajili ya kupelekea wanafunzi wa shule ya msingi kijijini nilikosomea.
Ningenunulia shule nzima pamoja na waalim....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana si kwamba naona ghali sana bali nilikuwa nahitaji pea zaidi ya 100. Ndio maana nikaona itakuwa parefu!Malyenge pole sana ila hakuna namna pambana tu na hali yako, kazana kuzisaka ipo siku utaona kawaida tu.