aise mbebe mwenza wako uliefanya nae mapenzi mara ya mwisho mkapate vipimo na tiba...omba Mungu tatizo liwe ni hilo tu la usaha...maana mengine ukiyapata hayaponagi.
Ni usaha au maji Maji meupe? Kama ni Maji Maji meupe hiyo itakuwa U.T.I iliyokomaa. Lakini kikubwa fika hospital au maabara upime STD’s pamoja na U.T.I. Kama una mwenza ni vizuri ukaenda nae maana unaweza ukawa unajitibu ila ukikutana nae anakurudishia tena maradhi.
Pole
Kama unasikiaga kisonono ndo hicho, halafu kinaenda na mwamaume kusikia msisimko sana wa mapenzi ili uambukize wengine. Kama kuna mwanamke ulilala nae usimrudie mpaka atibiwe kwanza. TAHADHARI kwa kipindi hiki uwezekano wa kupata maambukizi ya UKIMWI ni 100% chukua tahadhari kubwa kutofanya mapenzi mpaka upone, kwa ujumla inaonyesha huwa unafanya unprotected sex, Kuwa makini sana . Nakushauri uende hosipitali huo ugonjwa unatibika kilahisi sana ukiwahi kupata matibabu.Ufue nguo zote ulizokojolea na maji moto chupi zote na usikose kunyoosha suruwali ulizotumia.