nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,914
Pole sana endelea kutumia hizo dawa especially dawa za fungalMsaada Drs..
Uume wangu ulianza vipele baada ya kunyoa baada ya Hapo vikaleta vidonda nikaenda duka la dawa nikapewa fluconazole tabs na sonaderm cream nikatumia vimekauka sasa vimeleta vitu vifuatavyo.
Vilenge lenge vinakuwa kama mtu mwenye mguu wa tende.
Aisee vimeniondoa mchezoni wakuu.
Naombeni Ushauri nifanyajeView attachment 2379100View attachment 2379101View attachment 2379102View attachment 2379103
View attachment 2379106View attachment 2379108View attachment 2379107View attachment 2379109
Tuendelee na maisha kakaMbona thd yako inapingana na ID yako? nashukuru mzima