Samahani sijaelewa io tds na io bidTumia tabs primolut 10mg start then 5mg tds 5/7 plus caps ferotone 200mg bid 14/7
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia tabs primolut 10mg start then 5mg tds 5/7 plus caps ferotone 200mg bid 14/7
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia tabs primolut 10mg start then 5mg tds 5/7 plus caps ferotone 200mg bid 14/7
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi. Niliharibikiwa na ujauzito nikaenda hospital wakanipa misoprostol nkatumia lakini nikaanza kubleed kwa siku 25 mfululizo nkabadilisha hospital wakanipga ultrasound wakanambia hakuna shida na hawawezi kunipa dawa kwasabu kizazi hakina tatizo wala maambukizi ikabid nirudi nmepumzka Siku tano tu nikaanza tena kublid nikarud hospital wakanpga ultrasound wakasema hawaoni tatizo labda in period ya kawaida ila this tym ilikua siku Tisa badae ikawa imeisha sasa nmeanza tena tena inatoka nyingi sana nkaambiwa nipime full blood picture, urinalysis na hcg qualitative n quantitative nmepima ndo nkaona io mild na dam imepungua sasa wakanipa misoprostol tena hapa sijazitumia nahofia kuumwa na Nina mitian juma tatu sijui nifanyaje?
Sasa kama tatizo hakuna kyk kizazi hizo miso wanakupatia za niniMimi. Niliharibikiwa na ujauzito nikaenda hospital wakanipa misoprostol nkatumia lakini nikaanza kubleed kwa siku 25 mfululizo nkabadilisha hospital wakanipga ultrasound wakanambia hakuna shida na hawawezi kunipa dawa kwasabu kizazi hakina tatizo wala maambukizi ikabid nirudi nmepumzka Siku tano tu nikaanza tena kublid nikarud hospital wakanpga ultrasound wakasema hawaoni tatizo labda in period ya kawaida ila this tym ilikua siku Tisa badae ikawa imeisha sasa nmeanza tena tena inatoka nyingi sana nkaambiwa nipime full blood picture, urinalysis na hcg qualitative n quantitative nmepima ndo nkaona io mild na dam imepungua sasa wakanipa misoprostol tena hapa sijazitumia nahofia kuumwa na Nina mitian juma tatu sijui nifanyaje?