Ndugu zangu nimatumaini yangu wote niwazima, nina Toyota Allion ambayo in a ratio lakutetemeka pindi ukiwasha a/c.
Nilijaribu kupeleka kwa mafundi wakaniambia nibadilishe compressor na condensor nilifanya hivyo ila hakukuwa na mabadiliko yoyote.
Naomba kama kuna fundi au mtu yeyote mwenye ushauri anisaidie maana nateswa nalo sanaaa

Kwa case yako kacheki plugs.Haya magari umiza kichwa..langu linatatetemeka kwenye low speed, pack au likiwa idle, pale kwenye mataa au unaposimama kwenye foleni. Kero tupu
Nishawahi kuwa na gari yenye tatizo km hilo mafundi walijaribu wapi mwingine akaniambia exhaust pipe inagusa body tubadirishe ,ila km Bahati wakati wa service fundi akawa ameipeleka shimo la service akagundua Mounting za injini na gia box sio tukabadili,sijawahi kuisikia ikivuma tena.
Ilikuwa zamani kidogo siwezi kukumbuka exactly Ilikuwa kiasi gani kipindi kile na ile gari sinayo tena, ila nilimsikia fundi wangu aki negotiate na mteja wake 2 zinauzwa150,000/= alikuwa na AltezzaZilikugharimu bei gani mpe mwongozo muhanga na kwa faida ya wengine.
Rotation huwa inasoma ngap wakat inatetemeka? Kwa engine ya 1Nz kama ukiwasha A/C rotation inakuwa chin ya 1 kuna uwezekano mkuwa gar limefanyiwa modifications kwny Air intake Pipe au imeshushwa silence kwa njia isiyosahihiNdugu zangu nimatumaini yangu wote niwazima, nina Toyota Allion ambayo in a ratio lakutetemeka pindi ukiwasha a/c.
Nilijaribu kupeleka kwa mafundi wakaniambia nibadilishe compressor na condensor nilifanya hivyo ila hakukuwa na mabadiliko yoyote.
Naomba kama kuna fundi au mtu yeyote mwenye ushauri anisaidie maana nateswa nalo sanaaa
AsanteRotation huwa inasoma ngap wakat inatetemeka? Kwa engine ya 1Nz kama ukiwasha A/C rotation inakuwa chin ya 1 kuna uwezekano mkuwa gar limefanyiwa modifications kwny Air intake Pipe au imeshushwa silence kwa njia isiyosahihi