Nnatamani nikutonye besti ila kimila, nitakuwa mbeya.Sitaki iwe hivyo.
Ukiona mwanajamvi mwenzio keshakuwa gumzo, ni bora umpe amber alert ajirekebisha lol
Kaaaazi kweli kweli.
Salama Nitty...wewe?Mamaa Lizzy habari yako
Salama Nitty...wewe?