JogooKichaa
Member
- Feb 28, 2014
- 11
- 2
daaah!!!!hii machine naitamani,katangazo kanajitosheleza,lakini mkuu bei haipungui tena kidogo?
Hio storage 120GB ni HDD or SSD?
mkuu naomba uni pm namba yako kama bado hujauza.
HDD ni GB ngapi?wakuu mzigo bado upo.
HDD ni GB ngapi?
mkuu hii sio HDD,hii ni SSD 120GB.