used IPad one 64gb 3g and WIFI

Achahasira

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,213
214
wakuu kuna ipad one 64 gb WIFI 3g used for 1.5 month.
ios 4

scratchlss best condtion just charger na cover nyeusi ya kufunika kote.


najaribu kuweka picha inagoma.

bei 720,000 tsh

maelewano yapoo

piga 0688033330
 
Unapotangaza biashara yako taja na eneo ulilopo,ili watu wajue.
 
nipo Dar lkn naweza kuleta iringa,mafinga

screen size ni 9.7 inch betri life kwangu mimi natumia masaa tisa mfululizo hadi kuzimika.
 
wakuu kuna ipad one 64 gb WIFI 3g used for 1.5 month.
ios 4

scratchlss best condtion just charger na cover nyeusi ya kufunika kote.


najaribu kuweka picha inagoma.

bei 720,000 tsh

maelewano yapoo

piga 0688033330
Mkuu, hapo kwenye Red unamaanisha nini???
 
ipo na chaji yake na case ya nje ya leather ambayo inafunikia ipad yote nyuma na mbele.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…