Hizi ndio changamoto zaa wafanyabiashara wetu tulionao, sijui ni kwanini huweki habari au info iliyokamilika. Ulipaswa kujua kuwa watu wataulizia website na aina ya magari. Weka link ya hiyo company yako hapa na info zingine. Huchoki kuulizwa maswali ya uweke link?? I really don't like this type of businessman/woman.