M Mkeshaji JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,258 Reaction score 1,418 Feb 12, 2013 #21 WAHEED SUDAY said: we umeangalia kama mimi, yaani sijaangalia zaidi ya hapo na face Click to expand... Safety first. Hazard kubwa ndo iko hapo. Pakitokea hitilafu ya umeme hiyo sehemu ndo itatumika kama ground (earth). Ni hatari.
WAHEED SUDAY said: we umeangalia kama mimi, yaani sijaangalia zaidi ya hapo na face Click to expand... Safety first. Hazard kubwa ndo iko hapo. Pakitokea hitilafu ya umeme hiyo sehemu ndo itatumika kama ground (earth). Ni hatari.
Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Feb 12, 2013 #22 Bujibuji said: Click to expand... Kwa kuwa chanzo cha nishati ni hiko; basi mawasiliano ambayo anamudu kufanya hapo ni sms na mitandao tu! Hapo ukimpigia simu akipokea; balaa litakalompata mpigaji kwa masikio...
Bujibuji said: Click to expand... Kwa kuwa chanzo cha nishati ni hiko; basi mawasiliano ambayo anamudu kufanya hapo ni sms na mitandao tu! Hapo ukimpigia simu akipokea; balaa litakalompata mpigaji kwa masikio...
akenajo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 1,634 Reaction score 613 Feb 12, 2013 #24 nothing impossible tz