WVT-Recruitment
Member
- Jul 24, 2012
- 36
- 10
Usikate tamaa kuendelea kutuma maombi,hasa kwa nafasi amabazo unakizi viwango vyote hitajika. Tunapokea maombi mengi kiasi kwa kila nafasi inayotangazwa na ni kazi kuuita kila muombaji katika usaili.Ila fahamu tunasamini sana maombi yako.
Hiyo email adres yenu haifunction. Wekeni P.o.box tutume maombi
Mdau naona uko jikoni, Ni kweli email inafanya kazi. Na mimi njimeshaaply post ya Livelihood Manager-Kigoma/Tanga. Nilikuwa nauliza kwa post hiyo salary ina range kiasi gani.?? au ni makubaliano..Mkuu inafanya kazi,tuma Cv pekee bila attachments zozote itatufikia.
Mdau naona uko jikoni, Ni
kweli email inafanya kazi. Na mimi njimeshaaply post ya Livelihood
Manager-Kigoma/Tanga. Nilikuwa nauliza kwa post hiyo salary ina range
kiasi gani.?? au ni makubaliano..
Usikate tamaa kuendelea kutuma maombi,hasa kwa nafasi amabazo unakizi viwango vyote hitajika. Tunapokea maombi mengi kiasi kwa kila nafasi inayotangazwa na ni kazi kuuita kila muombaji katika usaili.Ila fahamu tunasamini sana maombi yako.
Nimefurah Jins watu wa IT WVT mlivyo anza mfumo wa kujibu waswala mbalimbali humu. Hakika WVT inaanza kunivutia. VIP ZILE NAFASI ZA INTERNSHIP ARUSHA bado zipo nitume maombi
Urgent Career Opportunities World Vision Tanzania:
Livelihood Manager-2 Positions
Livelihood Facilitator-4 Positions
Procurement Analyst
Stores Assistant
For Details and how to apply visit our career blog at WORLD VISION TANZANIA CAREERS
Mkuu JF sio sehemu ya platform ya Social Recruitment?nahakika sio sahihi kuona World Vision inatumia JF account ionekane sio sahihi.Kwetu tunatambua umuhimu wa JF kama nji bora ya kuwafikia walengwa wetu husika(Potential Candidates)Tunaomba wapenzi wetu muendelee kusoma matangazo ya kazi hapa na kutuma maombi yenu kwa e-mail yetu rasimi ya recruit_wvt@wvi.orgPunguzeni utapeli! World Vision gani ina blog haina hata logo inayojulikana? Alafu eti kweli World Vision wanaweza kufungua account ya recruitment JF? Huu utapeli bong mpk lini?
Wewe ----- nini..aaaaah.,jokes! Issue ni kwamba range ni shillingi ngapi? kwahiyo post..chek kwenye salary scale zenu hapo..!!Nilipataga post fulani usahili ulikuwa pouwa tukashindwa kukubaliana salario..but nikabushiit ikawa imekula kwangu kutokana na maandalizi kabla ya interview..usafiri,accomodation, na tym so kama mdau wa jikoni be straight to tha point, acha siasa...CheersMkuu kilicho bora ni ku apply, kufanya interview, ukipata uta compare na current salary yako, ukiona ndogo, unaendelea na kazi yako...
Asante ila tukiomba hata
kuitwa hatuoni tukiitwa au kuonesha wale walioitwa. Fanyeni hivyo basi
ili kuondoa hali ya kutoaminika kwa NGOs nyingi kuajiri ki undugu
zaidi.