Mkuu ungefafanua japo kidogo kwa maana watu wengi ni wakulima lakini sio watu wote wanafahamu kilimo cha GREEN HOUSE pia ungesindikiza na picha za kazi ambazo umeshafanya !
Ungetuambia ofisi zako ziko wapi, website ya ofisi kama ipo ili kuondoa watu wasisi mana matapeli ni wengi!
Yangu ni hayo tu kama ushauri.
MATANGAZO MAZURI NI CHACHU KWA MAFANIKIO YA BIASHARA