Umeielewa vp hii picha?

Elimu ya tanzania na wanafunzi nivitu viwil tofaut mwanafunz anazam Elim inaelea
 
Reactions: CTX
Elimu imeungwa ungwa sana na viraka kuashiria kua haina ubora kabisa na kiraka kikitolewa inazama kabisa na wanafunzi kukosa elimu bora
 
Reactions: CTX
Mwanafunzi kashazama na yuko mwishoni kaaabisa anapata taaabu saaana.Huku sasa Elimu mwenyewe mkombozi ndio yupo mbali na hana msaada maana jinsi alivyoshonwa shonwa na kuungwa ungwaa.sidhani kama atamsaidia Kijana aliyetoa macho nafikiri ameguswa na papa kwa chini.Ndio baasi tena.
 
Ukilishika hilo boya lazima uzame nalo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…