F FRANKMGAO Member Joined Jan 22, 2015 Posts 5 Reaction score 0 Jan 24, 2015 #1 Matatizo ya maumivu ya chini ya tumbo pindi mwanamke akiwa mjamzito,yanatokana na nini? Na tiba yake ni ipi?
Matatizo ya maumivu ya chini ya tumbo pindi mwanamke akiwa mjamzito,yanatokana na nini? Na tiba yake ni ipi?
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,688 Jan 24, 2015 #2 ujauzito wa muda gani?
allantence JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 355 Reaction score 303 Jan 24, 2015 #3 Miezi miwili.
A Apendeki2 Senior Member Joined Oct 20, 2014 Posts 161 Reaction score 77 Jan 24, 2015 #4 FRANKMGAO said: Matatizo ya maumivu ya chini ya tumbo pindi mwanamke akiwa mjamzito,yanatokana na nini? Na tiba yake ni ipi? Click to expand... Inawezekana ana UTI onana na Dr kwa ushauri
FRANKMGAO said: Matatizo ya maumivu ya chini ya tumbo pindi mwanamke akiwa mjamzito,yanatokana na nini? Na tiba yake ni ipi? Click to expand... Inawezekana ana UTI onana na Dr kwa ushauri